Habari za Punde

Rais Dk Shein, Ahudhuria Sherehe za Mei Mosi Pemba


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba aliposhiriki katika sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana Viongozi wa Chama CCM wakati alipowasili Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba aliposhiriki katika sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi   wakati alipowasili katika  Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba katika sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipunga mkono kupokea maandamano ya wafanyakazi wa Taasisi za Serikali  na Binafsi kisiwani Pemba wakati akilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika Uwanja wa Kiwanja Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipunga mkono kupokea maandamano ya wafanyakazi wa Taasisi za Serikali  na Binafsi kisiwani Pemba wakati wa Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika Uwanja wa Kiwanja Kiwanda cha Makonyo Wawi
Wafanyakazi wa Wizara ya Afya Kisiwani  Pemba wakipita mbele ya Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea maandamano ya  wafanyakazi wa Taasisi za Serikali  na Binafsi wakati wa Kilele cha sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika Uwanja wa Kiwanja Kiwanda cha Makonyo Wawi
Wafanyakazi wa ZSTC Pemba wakipita mbele ya Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea maandamano ya  wafanyakazi wa Taasisi za Serikali  na Binafsi wakati wa Kilele cha sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika Uwanja wa Kiwanja Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba
 v
Viongozi mbali mbali na wafanyakazi wakiwa katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba wakati wa sherehe za Siku ya Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo mgeni rasmi akiwaRais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) pamoja na Viongozi wengine wakinyanyua mikono  juu wakati wakiimba wimbo maalum wa Mshikamano (Solidarity Forever) wakati wa kusherehekea Siku ya Wafanyakazi Duniani sherehe zilizofanyika leo Ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chake chake Pemba
Viongozi na Wafanyakazi Mbali mbali wakishikamana kunyanyua mikono juu wakiimba kwa pamoja na kuimba wimbo maalum wa Mshikamano (Solidarity Forever) wakati wa kusherehekea Siku yaWafanyakazi Duniani sherehe zilizofanyika leo Ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chake chake Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwahutubia wafanyakazi wa taasisi mbali mbali za Serikali na Taasisi Binafsi wakati wa sherehe za Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba

Wafanyakazi  waliochaguliwa kuwa wafanyakazi Bora wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwahutubia wafanyakazi wa taasisi mbali mbali za Serikali na Taasisi Binafsi wakati wa sherehe za Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba
Wafanyakazi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwahutubia wafanyakazi wa taasisi mbali mbali za Serikali na Taasisi Binafsi wakati wa Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba
Wafanyakazi na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwahutubia wafanyakazi wa taasisi mbali mbali za Serikali na Taasisi Binafsi katika  sherehe za Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Bi Khadija Hamadi Abdalla  wa Ofisi ya Rais (MBLM) ZUPHE  Cheti na Fedha tasilim Shilingi Laki Tano  katika sherehe za Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Bw.Abdalla Haji Abdalla  wa  Ofisi ya Rais (MBLM) ZUPHE  Cheti na Fedha tasilim Shilingi Laki Tano  katika sherehe za Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Bw. Seif Suleiman Kassim wa  shirika la ZSTC  tawi la TUICO-Z  Cheti na Fedha tasilim Shilingi Laki Tano  katika sherehe za Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Bw.Suleiman Hamadi Suleiman  wa  shirika la Bandari   tawi la COTWU-Z  Cheti na Fedha tasilim Shilingi Laki Tano  katika sherehe za Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Bi Mwanahamis Kombo Ali   wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa  Rais  ZUPHE  Cheti na Fedha tasilim Shilingi Laki Tano  katika sherehe za Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kikombe Nahodha wa Timu ya Bandari Ali Makame Akida baada ya timu yake kuifunga Timu ya Ikulu kwa mabao 2-1katika mchezo wa fainali kombe la Mei Day  kikombe hicho kilikabidhiwa katika sherehe za Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya kiwanda cha makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi bora wa taasisi mbali mbali za Serikali na Binafsi baada ya kuwakabidhi vyeti na fedha taslim katika sherehe za Kilele cha Siku ya wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.