Habari za Punde

Semina za katiba inayopendekezwa zaendelea Pemba

 AFISA mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Khalfan Amour Mohamed, akifungua mkutano wa elimu ya sheria ya Kura ya Maoni ya mwaka 2013, kwa wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba, katikati ni sheha wa shehia ya Madungu Mafunda Hamad Rubea, akifuatiwa mtendaji wa ZLSC Siti Habibu Mohamed, mkutano uliofanyika skuli ya maandalizi Madungu, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MTENDAJI wa shehia ya Mdungu wilaya ya Chake chake, akiwagawiya wananchi Katiba inayopendekezwa, mara baada ya maofisa wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, kutoa elimu ya sheria ya kura ya Maoni ya mwaka 2013, mkutano uliofanyika skuli ya maandalizi Madungu, (Picha na Haji Nassor, 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.