Habari za Punde

Spika wa BLW ampa zawadi Mjumbe wa kamati ya Bunge la Ulaya

Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho akimkabidhi zawadi Mhe. David Martin Mjumbe wa Kamati ya Bunge la Ulaya ya Ushirikiano kati ya Bunge la Ulaya, Baraza la Wawakilishi na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.