DK.MWINYI:CCM ITAFANYA KAMPENI ZA KISTAARABU KWA SERA ZENYE TIJA KWA
WANANCHI
-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein
Ali Mwinyi, ambaye pia ni Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama
Cha...
1 hour ago
UONEVU TU, Kuna watu wanatukana watu matusi makubwa makubwa tena hadharani na video zipo (ushahidi kamili) mbona hatujasikia kukamatwa mtu? au kuna watu fulani tu ndio hawastahiki kutukanwa?
ReplyDeleteKwakweli suala la kutukana viongozi hakikubaliki kwa vyovyote vile lkn. na jeshi la polisi liache kudhalilisha W'bari waliosoma.
ReplyDeleteSuala la kutetea mtuhumiwa ni haki ya kikatiba"presumption of innosence" na haimahanishi kwamba ulishirikiana nae au kummuunga mkono mtuhumiwa...ndio maana tuna mawakili!
Kauli za namna hii ndizo zinazowafanya wenzetu ktk jamuhuri watudharau na hata kutunyima baadhi ya nafasi muhimu..sidhani kama tutaipata tena nafasi ta IGP kutoka za Z'bar kwa mtaji huu!
"