Habari za Punde

Wananchi wakisoma Gazeti la Zanzibar Leo

WANANCHI wa shehia ya Minazini wilaya ya Mkoani Pemba, wakijisomea gazeti la Zanzibar leo, muda mfupi baada ya wananchi hao kugawiwa kopi ya gazeti hilo, wakati waandishi wa habari wa shirika la magazeti walipofika kijijini hapo kutafuta habari, (Picha na Zuhura Juma, Pemba). 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.