IPO haja kwa mamlaka husika za ujenzi wa barabara,
kuanza mapema kufikiria suala zima la utanuzi wa barabara za mjini ya Pemba,
kutokana na ongezeko kubwa la gari, hasa katika mji mkuu wa Pemba Chake Chake,
ili kuwepo kwa maegesho yenye nafasi pembezoni mwa mji huu wa Chake Chake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
Airtel Money Africa partners with pawaPay for seamless international
remittances across Africa
-
Dubai, 07 August 2025: Airtel Money Africa, Airtel Africa’s mobile money
arm, today announced an extended partnership with Africa’s largest mobile
mone...
13 minutes ago
Bado hakuna ongezeko la gari ukiangalia hio picha vizuri.
ReplyDeleteKapiga picha maeneo ya kwerekwe, njia ya Fuoni utapata taswira nzuri ya kadhia ya magari. Na uombe Mungu ukutane na misafara ya wenye nchi.
ReplyDeleteHakujakuwa na ongezeko kubwa la kutisha LA magari lakini pia si vibaya tukaanza kujiandaa name mapema il I tusije tukafanya makosa ambayo miji mingine tayari wameyafanya na sasa yanawa-cost sana. Mfano ni hiyo ya Fuoni- kwerekwe.
ReplyDelete