Habari za Punde

Dk Shein Alipohudhuria Ufungaji wa Baraza la nane la Wawakilishi

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride maalum la Kikosi cha Polisi akiongozwa na SP Ali Abdalla Kitole wakati wa Ufungaji wa Baraza la Wawakilishi la nane huko Chukwani jana Nje ya Mji wa Unguja.[Picha na IKulu.] 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha wageni alipofika katika Ofisi za Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi  jana alipohudhuria kulifunga Baraza la nane la Wawakilishi la Zanzibar, [Picha na IKulu.]
 Mpambe wa Baraza la Wawakilishi Mohammed Bilali akiwaongoza Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar  Pandu Ameir Kificho, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambaye ndio mgeni rasmi, pamoja na Katibu wa Baraza la Wawakilishi Yahya Khamis Hamadi wakiingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  wakati Ufungaji wa Baraza hilo la nane jana, [Picha na IKulu.]
 Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar  Pandu Ameir Kificho alipokuwa  akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na wajumbe wa Baraza hilo pamoja na kulifunga rasmi  Baraza  la nane la Wawakilishi katika ukumbi wa  Baraza Chukwani jana, [Picha na IKulu.]

 Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipozungumza nao katika ufungaji rasmi wa baraza hilo la nane la Wawakilishi jana Chukwani Wilaya ya magharibi Unguja,
[Picha na IKulu.]
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar ambao ni Mawaziri wa Wizara mbali mbali akiwepo Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Said Hassan Said wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipozungumza nao katika ufungaji rasmi wa baraza hilo la nane la Wawakilishi  jana Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja,
[Picha na IKulu.]]
 Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipozungumza nao katika ufungaji rasmi wa baraza hilo la nane la Wawakilishi jana Chukwani  Wilaya ya Magharibi Unguja,
[Picha na IKulu.]
  Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar ambao ni Mawaziri wa Wizara mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipozungumza nao katika ufungaji rasmi wa baraza hilo la nane la Wawakilishi jana Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja,
[Picha na IKulu.]
  Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar ambao ni Mawaziri wa Wizara mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipozungumza nao katika ufungaji rasmi wa baraza hilo la nane la Wawakilishi jana Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja,
[Picha na IKulu.]
 Watendaji wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja wakimsikiza Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Baraza la nane la Wawakili wa Zanzibar jana,[Picha na IKulu.]
 Watendaji wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja wakiwepo na wawakilishi wa Ofisi za Ubalozi na Mashirika ya Kimataifa wakimsikiza Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Baraza la nane la Wawakili wa Zanzibar jana,[Picha na IKulu.]

 Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Baraza la nane la Wawakili wa Zanzibar jana,huko Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja,[Picha na IKulu.]
Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar Pandu Ameir Kificho(katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbali mbali na Wajumbe wa Baraza hilo baada ya kulifunga rasmi Baraza la nane Wawakilishi  jana huko Chukwani Wilaya ya  Magharibi Unguja,[Picha na IKulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.