Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia sani kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mzee Silvin Ibengwe Mongella , mume wa Mama Getrude Mongella, nyumbani kwa marehemu Makongo Juu jijini Dar es salaam Juni 3, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Mama Getrude Mongella aliyefiwa na mumewe Mzee Silvin Ibengwe Mongella, nyumbani kwa marehemu Makongo Juu jijini Dar es Salaam, Juni 3, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mama Getrude Mongella aliyefiwa na mumewe Mzee Silvin Ibengwe Mongella alipokwenda kuhani msiba nyumbani kwa marehemu Makongo Juu jijini Dar es Salaam, Juni 3, 2025
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanafamilia na waombolezaji alipokwenda nyumbani kwa marehemu Silvin Ibengwe Mongella kutoa pole ya msiba huo kwa Mama Gertrude Mongela na familia, Juni 3, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment