JENGO la ghorofa moja la skuli mpya ya
Michakaini wilaya ya Chake Chake Pemba, ambalo lilijengwa kwa ufadhili wa
serikali ya watu wa Japan, kabla ya balozi wa nchi hiyo, nchini Tanzania
Masaharu Yoshida kulifungua rasmi, (Picha
na Haji Nassor, Pemba).
BALOZI wa Japan nchini Tanzania Masaharu
Yoshida akiwa na mwenyeji wake, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid
Abdalla, wakikata utepe kuashiria kulifungua jengo jipya la ghorofa moja la
skuli ya Michakaini lililojengwa na serikali ya watu wa Japan, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWENYEKITI wa kamati ya skuli ya Michakaini
wilaya ya Chake Chake Pemba, Nassor Harith akiwa na balozi wa Japan nchini
Tanzania Masaharu Yoshida, wakiitembelea skuli mpya ya ghorofa moja, liliojengwa
kwa ufadhili wa serikali ya watu wa Japan, (Picha
na Haji Nassor, Pemba).
WANAFUNZI wa skuli ya Michakaini
wilaya ya Chake Chake Pemba, wakimsikiliza balozi wa Japan nchini Tanzania
Masaharu Yoshida, akizungumza nao mara baada ya kulifungua jengo jipya la ghorofa
moja skulini hapo lililojengwa kwa ufadhili wa serikali ya watu wa Japan, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WANAFUNZI wa skuli ya Michakaini
wilaya ya Chake Chake Pemba, wakimsikiliza balozi wa Japan nchini Tanzania
Masaharu Yoshida, akizungumza nao mara baada ya kulifungua jengo jipya la ghorofa
moja skulini hapo lililojengwa kwa ufadhili wa serikali ya watu wa Japan, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
BAADHI ya viongozi wa serikali kisiwani
Pemba, waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa skuli mpya ya ghorofa moja yenye
vyumba saba vya kusomea, iliojengwa kwa ufadhili wa serikali ya watu wa Japan, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWENYEKITI wa kamati ya elimu skuli ya Michakaini wilaya
ya Chake chake akimkabidhi zawadi ya mikoba ya ukili balozi wa Japan nchini
Tanzania, Masaharu Yoshida, baada ya kuifungua skuli mpya ghorofa moja
iliojengwa na serikali ya Japan, (Picha
na Haji Nassor, Pemba).
BALOZI wa Japan nchini Tanzania Masaharu
Yoshida akiwahutubia wazazi na walezi, pamoja na wanafunzi wa skuli ya
Michakaini wilaya ya Chake Chake, mara baada ya kuifungua skuli mpya ya ghorofa
moja, iliojengwa kwa ufadhili wa serikali ya Japan, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MKUU wa mkoa wa kusini Pemba, Mwanajuma
Majid Abdalla, akizungumza na wazazi, waalimu na wanafunzi wa skuli ya
Michakaini wilaya ya Chake Chake Pemba, mara baada ya balozi wa Japan, nchini
Tanzania Masaharu Yoshida kulifungua jengo jipya la ghorofa moja la skuli hiyo,
lililojengwa kwa ufadhili wa serikali ya watu wa Japan, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment