Habari za Punde

Jengo la skuli ya Sekondari ya Uweleni linahitajia msaada wa haraka likamilke

 MWALIMU anaeshughulikia majenzi skuli ya sekondari ya Uweleni Mkoani Pemba, Mohamed Ussi Shaame, akiwafahamisha jambo waandishi wa habari wa kujitegemea wanaoandikia gazeti la Zanzibar leo Pemba, wakati walipofika kuangalia maendeleo ya jengo hilo, ambalo linahitaji msaada wa haraka ili likamilike, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWANDISHI wa shirika la magazeti ya serikali Pemba, Abdi Juma Suleiman, aliesimama katikakati, akimsikiliza kwa makini mwalimu anaeshughulikia majenzi skuli ya sekondari ya Uweleni Mkoani Pemba, Mohamed Ussi Shaame, juu ya kuwataka waliohidi kutoa fedha taslimu shilingi 9.5 milioni, kwa ajili ya jengo hilo, kuharakisha michango yao,  (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.