Habari za Punde

Makamu wa Rais Dkt.Bilal Afungua Tamasha la Bulabo Kabila la Wasukuma Mkoani Mwanza.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib  Bilal akisalimiana na Mwenyekiti wa Machifu wa Kisukuma Charles llago Kaphipa wakati wa sherehe za Kimila za wasukuma kwenye Tamasha la bulabo katika kituo cha bujoro Mkoani Mwanza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Ghar Bilal  akishika jiwe la kutengenezea chuma wakati wa Uchifu kulia ni Mkurugenzi wa kituo cha Bujora Askofu Fabian Mkoja alipotembelea Maonyesho hayo Kijiji cha Kisesa wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza
Makamuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi wa kituo cha Bujora Askofu  Fabian Mkoja alipotembelea  Nyumba ya Mtemi wa kabila la wasukuma kwenye kituo cha  Bujora Mkoani Mwanza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akiwapungia Mkono wananchi wa Kijiji Cha Kasesa wilaya ya Magu wakati alipowasili Uwanjani hapo kuzindua Tamasha la Kimila la wasukuma Mkoa wa Mwanza
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akihutubia Wananchi wa Kijiji cha kisesa Wilaya ya Magu,katika sherehe za Kimila ya wasukuma   zilizofanyika Mkowani Mwanza
Makamu wa Raiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akipiga Ngoma ishara ya Kuzindua Sherehe za  kimila za kabila la wasukuma zilizofanyika  kwenye kijiji  cha kisesaWilayani Magu Mkoa wa Mwanza.(Picha na OMR) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.