Mmoja katika wanafunzi walioshiriki mashindano ya kuhifadhi Qur'aan juzuu 30
Mwenyekiti wa kamati ya Tahfidhul Qur'aan Maalim Sule akitoa nasaha zake wakati wa mashindano ya kuhifadhi Qur'aan yaliyofanyika Msikiti wa Ijumaa, Mahonda.
Waumini wa dini ya kiislamu waliohudhuria mashindano ya kuhifadhi Qur'aan Mahonda
Miongoni mwa wanafunzi walishiriki katika mashindano ya kuhifadhi Qur'aan wakisubiri muda wao kwenda kutahiniwa
Mshindi ni AbdulSwamad Abdallah Ali kutoka zanzibar amepata asilimia 100% akikabidhiwa zawadi yake na Al Akh Mohammed Suleiman
Picha kwa hisani ya V Achudi kupitia ukurasa wa Facebook
No comments:
Post a Comment