Habari za Punde

MBUNGE WA JIMBO LA FUONI ZANZIBAR AZINDUA LIGI YA SAID MUSSA CUP

  Mbunge wa Jimbo la Fuoni Said Mussa Zubeir akizungumza na wachezaji wa Timu ya Maguta na Wazee FC zote za Jimbo la Fuoni katika mashindano ya Said Mussa Cup yanayofanyika mwezi wa Ramadhani katika kiwanja cha Magogoni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
 Mbunge wa Jimbo la Fuoni Said Mussa Zubeir akipuliza kipenga kuashiria kuzinduliwa kwa mashindano hayo.
 Mwandishi wa Habari Takdiri Ali akifanya mahojiano na Mbunge wa Fuoni Said Mussa Zubeir mara baada ya kuzindua ligi ya Ramadhani inayofadhiliwa na Mbunge huyo.
                   Baadi ya washabiki wakifuatilia mtanange huo.
Kipa wa timu ya Maguta akidaka mpira.  Matokeo ya mchezo huo wametoshana nguvu  bila ya kufungana.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.