NDEGE ya kampuni ya Al-salaam, ikiwa kwenye majani
nje kidogo ya njia ya kurukia, baada ya kutua kwa dharura katika uwanja wa
ndege wa Pemba, ikiwa na abiria 12, baada ya kukumbwa na hitilafu ya mashine
ikiwa imesharuka juu mita 500, (Picha na
Haji Nassor, Pemba
DKT. YONAZI ATEMBELEA UWAKILISHI WA KUDUMU WA TANZANIA KATIKA OFISI ZA
UMOJA WA MATAIFA GENEVA, AAZIMIA KUIMARISHA USHIRIKIANO
-
NA. MWANDISHI WETU – GENEVA USWISI
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na
Uratibu Dkt. Jim Yonazi ametembelea Ofisi za...
35 minutes ago
Na Hii style ya hivi videge vidogo kuwa na rubani mmoja vipi jamani? Au ndio sheria za usafiri Wa angani zinavyosema hebu tusaidiemi we ye kujua.
ReplyDeleteSheria ya anga inasemea ngede yeyote ya abiria lazima iwe na marubani wawili! Na vile vile ndege yenye engine moja hairuhusiwi kubeba abiria!!! But ndugu yangu we are in Zanzibar hata sheha anasheria zake!!! Kiufupi Sheria zipo miko nono mwa watu!
ReplyDelete