Habari za Punde

PBZ Yafuturisha Wateja Wake Zenj

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja baada ya kuwasili katika viwanja vya hoteli ya Bwawani kuhudhuria futari ilioandaliwa nas PBZ kwa wateja wake.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein , akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika sala ya Magharibi wakati wa hafla ya futari maalum ilioandaliwa na PBZ kwa Wateja wake Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar.
                        Naibu Mufti wa Zanzibar akisoma dua baada ya sala ya magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akitete jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Juma Amour, wakiingia ukumbi wa salama baada ya Sala ya magharibi.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akijumuika na Wananchi na Wateja wa PBZ katika futari maalum ilioandaliwa na PBZ kwa wateja wake Zanzibar iliofanyika ukumbi wa Salama Bwawani. 
              Wateja wa PBZ wakijumuika katika hafla ya futari maalum ilioandaliwa kwa ajili yao.
Wafanyakazi na Wateja wa PBZ wakijumuikas katika futari maalum ilioandaliwa na PBZ kwa ajili ya wateja wao.

 



















No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.