Habari za Punde

RAIS KIKWETE AONGOZA SIKU YA KUPIGA VITA MADAWA YA KULEVYA DUNIANI MJINI BAGAMOYO LEO

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipungia mkono wakati wa kupokea maandamano ya waathirika wa madawa ya kulevya walio katika matibabu kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Dunia ni katika Viwanja vya Taasisi ya sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) mjini Bagamoyo leo Juni 26, 2016
 Wasanii wanafunzi wa Mwaka wa tatu wakichezaa igizo la athari za  madawa ya kulevya mbele ya Rais Kikwete wakati wa Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Dunia ni katika Viwanja vya Taasisi ya sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) mjini Bagamoyo leo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.