WANAFUNZI wa Almadrasatul Maahad Isslaah ya Ukunjwi Jimbo la Gando, wakiangalia habari zilizomo ndania ya Gazeti la Zanzibar leo, wakati walipotembelea ofisi ya shirika la Magazeti ya Serikali ofisi ya Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Shirika la Magazeti ya Serikali Ofisi ya
Pemba, Bakari Mussa Juma akiitikia dua iliyotolewa na wanafunzi wa Almadrasat
Maahad Islaah ya Ukunjwi Jimbo la Gando, mara baada ya kumaliza ziara yao ya
kutembelea ofisi hiyo.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment