Habari za Punde

Wanafunzi wa IT watembelea Ofisi za Zanzibarleo Pemba

MKUU wa shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar, ofisi ya Pemba, Bakari Mussa Juma akiwafahamisha wanafunzi wa fani ya IT waliotembelea ofisi ya Gazeti la Zanzibarleo Pemba, jinsi ya kutafuta habari mbali mbali kwa kutumia simu za kisasa za Mkononi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.