Habari za Punde

Aliyekuwa Mwakilishi wa Rahaleo Mhe Nassor Salum Jazira Arejesha Fomu Kugombea Jimbo la Kikwajuni Baada Jimbo hilo kuunganishwa

 Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Mhe Nassor Salim Jazira akisalimiana na Mgombea mwazake walipokutana wakati wa kurejesha Fomu ya kugombea Uwakilishi Jimbo la Kikwajuni baada ya rahaleo kuondolewa na kuunganishwa na Kikwajuni Zanzibar.  
 Katibu wa CCM Wilaya ya Mjini Ndg Aburahamani Kasongo akipojianda kupokea fomu za Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kikwajuni Zanzibar Mhe Nassor Salim Jazira, ambaye kipindi kilichopita alikuwac Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo na baada ya kufutwa jimbo hilo kwa kuunganishwa na Kikwajuni. 
Katibu wa CCM Wilaya ya Mjini Abdurahamani Kasongo akipokea fomu ya mgombea wa nafasi ya uwakilishi jimbo la kikwajuni wakati akirejesha fomu hiyo kuwania nafasi hiyo.
Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kikwajuni Mhe Nassor Salim Jazira akiwa na familia yake ikimshindikiza kurejesha fomu ya kugombea Uwakilishi Jimbo la Kikwajuni Zanzibar akiwa nje ya jengo la CCM, Wilaya ya Mjini Mitiulaya Gulioni Zanzibar
Mgombea akisalimiana na Wazee wa CCM nje ya Ofisi ya Chama baada ya kurejesha fomu yake ya kugombea Uwakilishi Jimbo la Kikwajuni.

1 comment:

  1. kazi kwelikweli mara hii mjitu imepatikana kweli

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.