Habari za Punde

Balozi Seif aagana na Wajumbe wa Kamati za siasa za Mkoa wa Kaskazini Unguja

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiagana na Wajumbe wa Kamati za siasa za Mkoa wa Kaskazini Unguja, Wilaya ya Kaskazini B Jimbo la zamani la Kitope na Kamati tekelezaji za UWT na Vijana ambao alifanya kazi nao pamoja katika kipindi cha miaka 10 akiwa Mbunge wa Jimbo la zamani la Kitope.

Kulia  ya Balozi Seif ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kaskazini “B” Nd. Hilika Ibrahim Khamis na kushoto ya Balozi Seif ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja ambae pia ni Mkuu wa Mkoa huo Kanal Mstaafu Juma kassim Tindwa.

 Baadhi ya Wajumbe wa Kamati za siasa za Mkoa wa Kaskazini Unguja, Wilaya ya Kaskazini B Jimbo la zamani la Kitope na Kamati tekelezaji za UWT na Vijana hapo ukumbi wa CCM Kinduni.
 Baadhi ya Wajumbe wa Kamati za siasa za Mkoa wa Kaskazini Unguja, Wilaya ya Kaskazini B Jimbo la zamani la Kitope na Kamati tekelezaji za UWT na Vijana hapo ukumbi wa CCM Kinduni.

  Balozi Seif pamoja na Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Kaskzini Unguja kushoto yake Kanal Mstaafu Juma Kassim Tindwa Na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kaskazini B Nd. Hilika Ibrahim wakiangalia karatasi yenye mabadiliko ya mkato wa majimbo Zanzibar.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiagana na Wajumbe wa Kamati za siasa za Mkoa wa Kaskazini Unguja, Wilaya ya Kaskazini B Jimbo la zamani la Kitope na Kamati tekelezaji za UWT na Vijana ambao alifanya kazi nao pamoja katika kipindi cha miaka 10 akiwa Mbunge wa Jimbo la zamani la Kitope

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiagana na Wajumbe wa Kamati za siasa za Mkoa wa Kaskazini Unguja, Wilaya ya Kaskazini B Jimbo la zamani la Kitope na Kamati tekelezaji za UWT na Vijana ambao alifanya kazi nao pamoja katika kipindi cha miaka 10 akiwa Mbunge wa Jimbo la zamani la Kitope.
 .Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiteta na Sheha wa Shehia ya Fujoni Wilaya yaKaskazini “B “ Bwana Said Mgeni Bakari nje ya ukumbi wa Ofisi ya Jimbo la zamani la Kitope Kinduni.
Baadhi ya Wana CCM wa Jimbo la zamani la Kitope wakipigwa butwaa kutokana na uwamuzi wa Balozi Seif kuwamua kutangaza nia ya kugombea Uwakilishi Jimbo Jipya la Mahonda.

Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.