Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza mgombea nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia CHAUMMA katika Ukumbi wa Umoja wa watu wenye ulemavu Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA Ali Omar Juma akitowa wasfu wa mgombea nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama hicho katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Ukumbi wa Umoja wa watu wenye ulemavu Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mgombea Kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mohd Masoud Rashid akijitambulisha na kueleza sera zake mbele ya waandishi wa habari katika Ukumbi wa Umoja wa watu wenye Ulemavu Kikwajuni, Mjini Zanzibar. (kulia) mgombea mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho Issa Abass na (kushoto) Katibu Mkuu Ali Omar Juma. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Znz.
No comments:
Post a Comment