Habari za Punde

Kikao cha kamati ya maafa Wilaya ya Chake

 WAJUMBE wa kamati ya Maafa Wilaya ya Chake Chake na walimu wa skuli za msingi na Sekondari Wilaya hiyo, wakiwa katika kazi za vikundi wakipitia kwa makini mkakati wa pili wa Taifa wa utetezi wa mawasiliano Zanzibar, huko katika ukumbiwa wa Madungu Sekondari Chake Chake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 MWENYEKITI wa kikao cha kamati ya Maafa Wilaya ya Chake Chake na walimu wa skuli za msingi na Sekondari Wilaya hiyo, Said Moyo akitoa ufafanuzi wa jambo katika kikao hicho.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
AFISA Mipango wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Kassim Ali Omar, akiwapa nasaha walimu wenzake juu ya kwenda kuwafundisha wanafunzi wao masuala mbali mbali yanayohusiana na maafa.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.