Habari za Punde

Balozi Seif akagua mradi wa umeme wa majaribio wa upepo na jua, Kiuyu Mbuyuni, Micheweni Pemba

 MNARA wa Umeme wa majaribio wa Upepo na Jua wenye urefu wa Mita 71 kwenda juu, unaotekelezwa na Serikali ya Mapinduzi ya  Zanzibar kwa ufadhili wa Umoja wa Ulaya, huko Kiuyu Mbuyuni  Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha na Abdi  Suleiman, PEMBA.)
 MAKAMO wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, akiwasili katika Mnara wa Umeme wa Majaribio wa Upepo na Jua,  wakati alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Mnara  wa Umeme huo huko Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Kisiwani  Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MAKAMO wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Sief Ali Iddi, akiangalia jinsi gani vifaa vilivyowekwa kwa ajili ya Upimaji wa  Upepo kwenye Mnara wa Majaribio wa Umeme wa Upepo na Jua vinavyofanya kazi, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Pemba, Mhe:Omar Khamis Othman.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MENEJA wa Mradi wa Umeme wa majaribio wa Upepo na Jua Zanzibar,  Maulid Shirazi Hassan, akimpatia maeleo Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, juu ya maendeleo ya Mradi huo wa majaribio wa Umeme wa Upepo na Jua Kiuyu Mbuyuni Kisiwani  Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MAKAMO wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza, mara baada ya kukagua hali ya mradi wa Umeme wa Majaribio wa Upepo na Jua, huko Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.