Habari za Punde

Uzinduzi wa Mfuko wa Maendeleo ya Karafuu Zanzibar.

Wafanyakazi wa Shirika la Biashara la Taifa ZSTC Pemba wakimpokea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, alipowasili kuzindua Mfuko wa Maendeleo ya Karafuu Zanzibar, 
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe Nossor Ahmed Mazrui alipowasili katika viwanja vya kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba kuhudhuria hafla hiyo.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe Nassor Ahmeid Mazrui alipowasili katika viwanja vya Makonyo Wawi Pemba kwa ajili ya uzinduzi wa Mfuko wa Maendeleo ya Karafuu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSTC Bi Mwanahija Almas wakati alipowasili katika viwanja vya kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba kwa ajili ya uzinduzi wa mfuko wa maendeleo ya karafuu Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiangalia vipeperushi vya kuitangaza Karafuu ya Zanzibar wakati akitembelea maonesho ya Uboreshaji wa zao la karafuu wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Maendeleo ya Karafuu Zanzibar kulia Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe Nassor Ahmed Mazrui na kusho Mama Mwanamwema Shein, wakiangali vipeperushi hivyo. 
Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSTC Bi Mwanahita Almas akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein, kuhusiana na Utafiti wa Zao la Karafuu Zanzibar wakati alipotembelea banda la Idara ya Utafiti la Kilimo katika maonesho hayo.yaliofanyika katika viwanja vya kiwanda cha makonyo wawi Pemba,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiangalia vitabu vya Utafiti wa zao la Karafuu wakati wa hafla ya maonesho ya zao hilo na Uzinduzi wa Mfuko wa Maendeleo ya Karafuu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Afisa Utafiti wa Kilimo Ndg Idrisa Hassan akitowa maelezo ya utafiti wa matumizi ya aina udogo na uatikaji wa mbegu za karafuu wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Karafuu Zanzibar uliofanyika katika viwanja vya kiwanda cha makonyo Wawi Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Mama Mwanamwema Shein, wakimsikiliza Afisa wa Kilimo Utafiti Ndg Idrisa Hassan akitowa maelezo ya utumiaji wa matumizi ya udongo bora wa kuatikia mikarafuu.
Afisa wa Kilimom Ndg Amour Juma akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, ubora wa uchumaji wa karafuu wakati wa maonesho hayo yaliofanyika katika viwanja vya kiwanda cha makonyo Wawi Pemba. 
Afisa wa Kilimo Pemba Ndg Amour Juma akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, njia bora za uanikaji wa Karafuu wakati wa  maonesho hayo ya uzinduzi wa mfuko wa maendeleo ya Karafuu Zanzibar. 
Mkurugenzi Muendeshaji wa Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar ZSTC Bi Mwanahija Almas akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, ubora wa Karafuu za Zanzibar na bidhaa zinazotengenezwa na ZSTC kupitia zao la karafuu. wakati wa maonesho hayo.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Zanzibar Afani Othman akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar nas Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, wakati akitembelea maonesho ya kuangalia matayarisho ya zao la Karafuu katika hafla ya uzinduzi Mfuko wa Maendeleo ya Karafuu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiangalia donge la karafuu hutengenezwa kwa ajili ya kuweka chumbani kupara marashi ya karafuu. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiangalia jinsi ya njia bora ya uanikaji wa karafuu kutumia majavi wakati wa maonesho hayo ubora wa Karafuu ya Zanzibar na Uzinduzi wa Mfuko wa Maendeleo wa Karafuu Zanzibar.hafla hiyo imefanyika viwanja vya makonyo Wawi Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mnunuzi wa Karafuu wa Kampuni ya Organic ya Ujerumani Hununua karafuu za Zanzibar Meneja wa Zanj Spice Zanzibar Ndg Farouk.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.