Habari za Punde

Dk Shein Azungumza na Balozi wa Tanzania Uholanzi na Balozi Mpya ya Jamuhuri ya Algeria Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uholanzi Irene Florence Mkwama alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uholanzi Irene Florence Mkwama alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mpya wa Jamhuri ya watu wa Algeria Belabed Saad Balipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha rasmi kwa Rais leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi Mpya wa Jamhuri ya watu wa Algeria Belabed Saad alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha rasmi kwa Rais leo,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.