Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein Azungumza na Wananchi wa CCM Kangagani Pemba.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akiwa katika viwanja vya CCM Tawi la Kangagani Pemba,

 Taswura ya wananchi wa Kangagani wakimshangilia Dk Shein, alipowasili katika tawi la CCM Kangagani Pemba kuzungumza na Wana CCM 
 Wananchi wa Kangagani Pemba wakimshangiria Rais wa Zanzibar alipowasili katika viwanja vya tawi la CCM Kangagani Pemba akiwa katika ziara yake.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipokea risala ya Wananchi wa Kijiji cha Kangagani Pemba wakati wa ziara yake kisiwani Pemba.
  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Ndga Hamad Mberwa akizungumza wakati wa mkutano huo na kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein, kuzungumza na Wana CCM wa kijiji cha Kangagani Pemba.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kangagani Pemba wakati akiwa katika ziara yake kisiwani Pemba.
 Wananchi wa CCM wakimsuikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwahutubia akiwa katika ziara yake kisiwani Pemba 
         Wananchi wa CCM Kangagani wakiwa katika viwanja vya Tawi la CCM Kangagani Pemba.
Wananchi wa Chama cha Mapinduzi Kangagani wakiwa katika viwanja vya Tawi la CCM Kangagani wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, wakati akiwahutubia. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.