Habari za Punde

Matokeo ya Kura ya Maoni CCM Jimbo la Malindi na Jangombe Unguja..

Katibu wa CCM Wilaya ya Mjini Ndg Fatma Shomar, akitangaza matokeo ya uchaguzi wa Kura ya Maoni Jimbo la Malindi Unguja baada ya kukamilisha uchaguzi wake jana. 

Mshindi wa Jimbo hilo aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Rahaleo ameshinda jimbo la Malindi kama ifuatavyo

Mshindi wa kwanza ni Dr Abdalla Juma Sadala kura 558,

Mshindi wa Pili Kombo Mshenga Zuberi  kura 241

Mshindi wa Tatu Ndg Mohammed Suleiman Omar kura 168.

Nafasi ya Nne Ndg Abdi Ibrahim Sanya kwa kupata kura 108.

Nafasi ya Tano Ndg Ame Ameir Ame amepata kura 25

Nafasi ya Sita Ndg Said Kheir Ameir amepata kura 17.

Wa mwisho katika ni Ndg Nassor Khamis Mohammed kura 11.

Kwa nafasi ya Uwakilishi wagombea waliochukua fomu kugombea nafasi hiyo walikuwa 5

Mshindi  wa kinyangayiro hicho cha Uwakilishi katika Jimbo la Malindi ni 

Ndg Mohammed Ahmada Salum kwa  kura 336.

Mshindi wa Pili  Ndg Abdurahaman M Hassan  kura 271

Mshindi wa Tatu Ndg Himid Mbwana Said  kura 254

 Nafasi ya Nne NdgAli Abdalla Suwed (MAKASI)

Nafasi ya Tano Ndg Ussi Said Suleiman  kura 112.

Matokeo ya Kura ya Maoni katika Jimbo la Jangombe Unguja- Ubunge
Mshindi wa Jimbo hilo ni sura mpya tayari ameshawahi kugombea Jimbo hilo kwa mara ya pili na kipindi hichi kuibuka mshindi katika Nafasi ya Ubunge kwa kumuangusha aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo Ndg Hussein Mussa Mzee.

Mshindi wa kwanza ni Ndg Ali Hassan Omar King, kura 879.

Mshindi wa Pili Ndg Abdalla Husein Kombo  kura 639.

Nafasi ya tatu ni Ndg, Hussein Mussa Mzee,  kura 566.

Nafasi ya Nne ni Ndg Talib Ali Talib aliyepata kura 341

Nafasi ya Tano Ndg Mgeni Mwalimu Ali aliyepata kura 173. 

Nafasi ya mwisho  ni Ndg Haji Lila Haji, aliyepata kura 58.


KWA UPANDE WA UWAKILISHI JIMBO LA JANG'OMBE WAGOMBEA WALIOJITOKEZA 10. KUWANIA NAFASI HIYO.


Mshindi wa Kwanza wa Nafasi ya Uwakilishi Jimbo la Jangombe ni Ndg Abdallah Maulid Diwani  kura 740.

Mshindi wa Pili ni Ndg Ramadhani Hamza Chande kura 441.

Mshindi wa tatu ni Ndg Othman Shaban Kibwana kura 418.

Mshindi wa nne ni Ndg Othman Sulieman Nyanga  kura 302.

Mshindi wa tano Ndg Mwatum Mussa Suleiman kura 201.

Mshindi wa sita ni Ndg Mwarab Mmadi Mwarab kura 169.

Mshindi wa saba ni Ndg Mohammed Rajab Soud  kura 154.

Wa Nane  Ndg Idrisa  hussein Mrisho kwa kupata kura 75.

Nafasi ya Tisa ni Ndg Said Ali Hamad, kwa kupata kura 63.

Nafasi ya Kumi ni Ndg Shehe Othman Mohammed kura 08.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.