Habari za Punde

Mkutano maalum wa Elimu Saccos wafanyika Zanzibar

 Mwenyekiti wa Elimu Saccos Ahmed Mohammed akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni Rasmi katika Mkutano maalum wa Elimu Saccos uliofanyika Amaan Judo Zanzibar.

 Mgeni Rasmi Mrajisi wa vyama vya Ushirika Hamis Daudi Simba akitoa hotuba ya ufunguzi katika mkutano wa maalum wa Elimu Saccos uliofanyika Amaan Judo Zanziobar,kulia yake ni Mwenyekiti wa Elimu Saccos Ahmed Mohd na kushoto yake ni Katibu wa Elimu Saccos Salma Simai.
 Baadhi ya Wanachama wa Elimu Saccos waliohudhuria katika Mkutano maalum wa Elimu Saccos uliofanyika Amaan Judo Zanzibar.

Baadhi ya Wanachama wa Elimu Saccos waliohudhuria katika Mkutano maalum wa Elimu Saccos uliofanyika Amaan Judo Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.