Mfamasia Mkuu wa Serikali Dkt. Habib Ali Sharif akitoa nasaha zake kwa Maafisa wa Afya (hawapo pichani) juu ya kuzitunza vyema Pikipiki tano zilizotolewa Msaada na Shirika linaloshugulikia Idadi ya Watu Dunia UNFPA kwa Wizara ya Afya.
Waziri wa Afya Zanzibar Rashid Seif Suleiman akikabidhiwa funguo pikipiki na Afisa Dhamana wa UNFPA Zanzibar Dkt. Azzah katika hafla ya makabidhiano yaliyofanyika Bohari kuu ya Madawa Maruhubi Mjini Zanzibar.
Waziri wa Afya Zanzibar Rashid Seif Suleiman akiijaribu moja ya pikipiki zilizotelewa msaada na Shirika linaloshugulikia Idadi ya Watu Dunia (UNFPA). Picha na Abdalla Omar-Maelezo.
Waziri wa Afya Zanzibar Rashid Seif Suleiman akitia saini hati ya Makabidhiano ya Pikipiki tano zilizotolewa Msaada na Shirika linaloshugulikia Idadi ya Watu Dunia UNFPA,(kulia) Afisa Dhamana UNFPA Zanzibar Dkt. Azzah Nofly, kushoto ya Waziri ni Mfamasia Mkuu wa Serikali Dkt. Habib Ali Sharif na Mkurugenzi wa Bohari Kuu ya Dawa Zahor Ali Hamad. Picha na Abdallah Omar-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment