Habari za Punde

Utani Mwengine Bwana Haufai

 Hawa Vijana wakiwa katika matani katika mtaa wa Muembe makumbi, Utani mwengine haufai unaweza kuleta ugomvi wakati wa utani huo kama nilivyowakuta wakati nikiwa katika pita yangu katika mitaa hiyo maeneo hya makutano ya barabara ya Bububu na kwenda Muembe makumbi wakiwa katika kona hiyo wakipigana.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.