Habari za Punde

Wakati wa Zoezi la Uchukuaji wa Fomu za Uwakilishi Zanzibar Kwa Wagombea wa CCM

Afisi Uchaguzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Ndg.Mohammed Ali Abdallah, akitowa maelezo kwa Wagombea waliofika Afisi ya Tume kuchukua Fomu za kugombea Uwakilishi katika Majimbo ya Magomeni na Mpendae Zanzibar.
Afisa Uchaguzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Ndg.Mohammed Ali Abdallah, akitowa maelezo kwa Mgombea Uwakilishi Jimbo la Magomeni Ndg Rashid Makame Shamsi,alipofika Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu ya Uwajilishi wa Jimbo la Magomeni kwa tiketi ya CCM.
Afisa Uchaguzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Ndg.Mohammed Ali Abdallah, akimkabidhi fomu mgombea Uwakilishi Jimbo la Magomeni Zanzibar. Ndg Rashid Makame Shamsi, alipofika Afisi za Tume Wilaya ya Mjini Unguja Maisara                                       .
Afisa Msimamizi Uchaguzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Ndg.Mohammed Ali Abdallah, akimkabidhi fomu ya kugomea Udiwani Wadi ya Magomeni Jimbo la Magomeni Zanzibar Ndg Ali Haji,.

Afisa Msimamizi Uchaguzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Ndg.Mohammed Ali Abdallah, akimkabidhi fomu ya kugomea Udiwani Wadi ya Sogea Jimbo la Magomeni Zanzibar Ndg Mohammed Said Mohammed.
Afisa Msimamizi Uchaguzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Ndg.Mohammed Ali Abdallah, akimkabidhi fomu ya kugomea Uwakilishi Jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe Mohammed Dimwa ambaye anatetea Jimbo lake kwa mara ya pili ,.
Afisa Msimamizi Uchaguzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Ndg. Mohammed Ali Abdallah, akimkabidhi fomu ya kugomea Udiwani Wadi ya Migombani Jimbo la Mpendae Mstahiki Meya wa Mji wa Zanzibar aliyekuwa Diwani wa Wadi ya Kilimani Unguja Mhe Khatib Abdurahaman Khatib .
Afisa Msimamizi Uchaguzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Ndg.Mohammed Ali Abdallah, akimkabidhi fomu ya kugomea Udiwani Wadi ya Mpendae Ndg Magomeni Zanzibar Ndg Bimkubwa Said Sukwa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.