MENEJA wa Baraza la Habari Tanzania MCT afisi ya
Zanzibar Suleiman Seif Omar, akifunga mafunzo ya siku tano kwa waandishi wa
habari wa Zanzibar, juu ya kuandika habari za uchaguzi yalioandaliwa na BBC,
kwa kushirikiana na MCT na kufanyika Shangani mjini Zanzibar, (Picha na Haji Nassor).
BAADHI ya waandishi wa habari waliohudhuria mafunzo ya
kuandika habari za uchaguzi, yalioandaliwa na BBC kwa kushirikiana na Baraza la
Habari Tanzania MCT na kufanyika Shangani mjini Zanzibar, (Picha na Haji Nassor,).
No comments:
Post a Comment