Habari za Punde

Waziri wa Fedha SMT Saada Mkuya achukua fomu za kugombea Ubunge jimbo jipya la Welezo


Waziri wa Fedha, Saada Mkuya alipowasili Ofisi za tume ya uchafguzi kwa ajili ya kuchukua fomu za kugombea Ubunge jimbo jipya la QWelezo na kuiahidi kuleta maendeleo katika jimbo hilo la WELEZO.


Waziri wa Fedha , Saada mkuya akitia saini wakati wa kukabidhiwa fomu za kugombea Ubunge jimbo jipya la Welezo
Afisa wa Uchaguzi  akitoa maelezo kumpatia Waziri Saada Mkuya ya namna ya ujazaji wa fomu za kuwania Ubuinge

1 comment:

  1. Hongera zake na kila la kheri, lazma tukubali "chema chajiuza, kibaya chajitembeza" Saada ni mchapa kazi na ametutoa kimasomaso Wz'bari ktk muungano!

    Ukweli ni kwamba mzanzibari yeyote makini ktk jimbo analogombea hawezi kumnyima Saada kura ya ndio, hasa ukizingatia kua yeye yupo 'kikazi' zaidi kuliko kuendesha "siasa za maji taka"...naamini hajawahi kua mlezi wa maskani!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.