Habari za Punde

Zanlink among the TOP 100 mid-sized companies in Tanzania




 Timu nzima ya Zanlink ilipokuwa ikisubiriwa kukabidhiwa tuzo yao kwa kuwa miongoni mwa kampuni 100 za wastani zinazofanya vyema nchini Tanzania
Mkurugenzi Mtendaji wa Zanlink, Sanjay Raja akiwa na Tunzo baada ya kukabidhiwa na katika hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Dar.
Mkuu wa kitengo cha mauzo na masoko, Burhan Saleh akiwa pamoja na mkuu wa kitengo cha ufundi, Issa Kassim walipokuwa katika sherehe za kukabidhiwa tuzo kwa kuwa miongoni mwa kampuni za wastani zinazofanya vizuri sana kwenye utoaji huduma kwa wateja.




“Zanlink is awarded a trophy for being selected as one of the top 100 most valuable mid-sized companies in Tanzania. The ceremony was attended by numerous company representatives from across the whole of Tanzania. 

The award was presented to Zanlink by Frolian Kaijage, in presence was Mr. Ketan Shah the KPMG Tanzania Partner, Mr Bashir the KPMG Country Director and Mrs. Jacqueline Woiso, the Deputy CEO of Bank M. 

One of the reasons for the acknowledgement was the company's high level of growth which was attributed by the dedicated service Zanlink delivers to its customers. 

The ceremony to mark the milestone was held at the Mlimani City Conference Hall with the Guest of Honor, the former Chairman of the East African Business Council, Mr. Felix Mosha.”

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.