Mgombea Nafasi ya Uwakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi Jimbo la Tunguu, Ndg Simai Mohammed Said akiwasili katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Wilaya ya Kati Unguja kuchukuwa Fomu kuwania kugombea nafasi hiyo kupeperusha bendera ya CCM.
Afisa Msaidizi Tume ya Uchaguzi Wilaya ya Kati Unguja Ndg Mbaraka Said Hassan , akitowa maelezo kwabea wa Nafasi ya Uwakilishi na Udiwani katika Jimbo la Tunguu Zanzibare kabla ya kuwakabidhi fomu ya kugombea nafasi hiyo kupitia kuteuliwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Afisa Msaidizi Tume ya Uchaguzi Wilaya ya Kati Unguja Ndg Mbaraka Said Hassan , akitowa maelezo kwabea wa Nafasi ya Uwakilishi na Udiwani katika Jimbo la Tunguu Zanzibare kabla ya kuwakabidhi fomu ya kugombea nafasi hiyo kupitia kuteuliwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Mgombea nafasi ya Uwakilishi Jimbo la Tunguu Ndg. Simai Mohammed Said na wagombea wa Udiwani katika Jimbo la Tunguu wakimsikiliza kwa makini Msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Kati Unguja akisoma fomu za kugombea nafasi hizo wakati wa kukabidhiwa fomu katika Afisi ya Tume ya Uchaguzi Koano Unguja
Afisa Msaidizi wa Tume ya Uchaguzi Wilaya ya Kati Unguja Ndg Mbaraka Said Hassan, akimuonesha fomu za kujaza mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Tunguu Ndg Simai Mohammed Said wakati wa zoezi la kutowa fomu za kugombea Uwakilishi linaloendelea Zanzibar katika majimbo mbalimbali ya Uchaguzi.
Afisa Msaidi Msimamisi wa Tume ya Uchaguzi Wilaya ya Kati Unguja Ndg Mbaraka Said Hassan, akimkabidhi Mgombea wa Nafasi ya Uwakilishi wa Jimbo la Tunguu Ndg Simai Mohammed Said fomu ya kugombea nafasi hiyo alipofika Afisi za Tume ya Uchaguzi Wilaya ya Kati Unguja kuchukua fomu kuwania kuteulewa kugombea nafasi hiyo kupitia Chama cha Mapinduzi.Afisa Msaidizi Msimamizi wa Tume ya Uchaguzi Wilaya ya Kati Unguja Ndg Mbaraka Said Hassan, akimkabidhi Mgombea wa Nafasi ya Uwakilishi wa Jimbo la Tunguu Ndg Simai Mohammed Said fomu ya kugombea nafasi hiyo alipofika Afisi za Tume ya Uchaguzi Wilaya ya Kati Unguja kuchukua fomu kuwania kuteulewa kugombea nafasi hiyo kupitia Chama cha Mapinduzi.
Afisa Msaidizi Msimamizi wa Tume ya Uchaguzi Wilaya ya Kati Unguja Ndg Mbaraka Said Hassan, akimkabidhi fomu ya kugombea Udiwani Wadi ya Bungi Jimbo la Tunguu Unguja Ndg Said Mtaji alipofika kuchukua fomu Afisi ya Tume Wilaya ya Kati Unguja leo.
Afisa Msaidizi Msimamisi wa Tume ya Uchaguzi Wilaya ya Kati Unguja Ndg Mbaraka Said Hassan, akimkabidhi fomu ya kugombea Udiwani Wadi ya Tunguu Hadhar Abdalla Hadhar Jimbo la Tunguu Unguja alipofika kuchukua fomu Afisi ya Tume Wilaya ya Kati Unguja leo.
Afisa Msaidizi Msimamisi wa Tume ya Uchaguzi Wilaya ya Kati Unguja Ndg Mbaraka Said Hassan, akimkabidhi fomu ya kugombea Udiwani Wadi ya Ubago Jimbo la Tunguu Unguja Ndg Ussi Ali Mtumwa alipofika kuchukua fomu Afisi ya Tume Wilaya ya Kati Unguja leo.
No comments:
Post a Comment