AFISA lishe kutoka Hospitali ya Micheweni Zahra
Abrahman wa kwanza kushoto, akitoa maelezo katika Kilele cha Maadhimisho ya
Wiki ya Unyonyeshaji Zanzibar, kwa Mkurugenzi wa ZIPA Pemba Fadhila Hassan,
katikati wakati alipofika katika chumba cha kutoa huduma ya mama na watoto,
huko katika skuli ya Chokocho Msinyi Wilaya ya Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MWAKILISHI wa UNICEF Dk Kamulisha Eliphanse, akitosa
salamu za UNICEF katika kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji Zanzibar,
kitaifa ilifanyika huko katika Skuli ya Chokocho Wilaya ya Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MDHAMINI wa mamlaka ya Uwekezaji na Vitega Uchumi
Zanzibar (ZIPA)Fadhila Hassan, akizungumza na wananchi wa Chokocho Wilaya ya Mkoani,
kwa aniaba ya Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, katika
kilele cha Wiki ya Unyonyeshaji Zanzibar.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment