Habari za Punde

Mafunzo ya Waandhi wa Habari Kuripoti Habari za Uchaguzi Yaendelea Kisiwani Pemba


 
Mmoja wa Waandishi wa Habari Kisiwani Pemba akiwasilisha kazi ya kikundi chao kuhusiana na athari za kusababisha viashiria vya fujo wakati wa uchaguzi wakati wa mafunzo hayo.
Mshiriki wa Mafunzo ya Uandishi wa habari za uchaguzi akiwakilisha kazi za kundi lao kuhusiana na viashiria vya kauli za chuki wakati wa uchaguzi na kusababisha uvunjaji wa amani, akiwakilisha wakati wa mafunzo yao ya kuripoti habari za uchaguzi mafunzo yalioandaliwa TAMWA kwa kushirikiana na Taasisi ya ECSE inayofanyika katika ukumbi wa gombani Pemba. 

Mshiriki wa Mafunzo ya waandishi swa habari kisiwani Pemba akiwasilisha kazi yao ya kikundi namna gani Kauli na maneo ya dharau wakati wa uchaguzi hutumiwa na baadhi ya wagombea huleta uvunjaji wa amani kwa wananchi.
Mwanahabari akiwasilisha kazi ya kundi lao kuhusiana na lauli za chuki huleta hasama kwa wananchi wakati wa uchaguzi na kusababisha hali ya kutoelewa na kusababisha uvunjajhi wa amani  kauli hizo kujitahidi kuepuka nazo wakati huu wa uchaguzi mkuu wa Zanzibar.
Mwanadishi wa habari akiwakilisha maoni ya kazi ya kikundi chao kuhusiana na dhamana ya waandishi wa habari kutumia kalamu yau vizuri katika kuripoti habari ya uchaguzi kuepusha uvunjaji wa amani kwa wananchi. 
Mwandamishi wa habari wa Zanzibar leo akichangia katikas mafunzo hayo ya waandishi ya habari kuhusiana kutumia kalamu zao vizuri kuripoti habari za Uchaguzi kisiwani Pemba, 
Waandishi wa habari wakifuatilia mafunzo hayo yaliowashirikisha waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kisiwani Pemba wakiwa katika mafunzo hayo.
Wakiwa Makini katika mafunzo ya kuripoti habari za kuripoti uchaguzi kisiwani Pemba wakiwa katika mafunzo hayo ya siku tatu yanayofanyika katika ukumbi wa gombani Pemba. 
Mwandishi wa habari wa Shirika la Utangazaji la ZBC Bi Kauthari akichagia wakati mafunzo hayo ya kuripoti habari za uchaguzi Zanzibar. 
Mkufunzi wa Mafunzo hayo kutoka ECSE Bi Petra Jezkova,akitowa mada kuhusiana na takimu za uandishi wa habari katika Nchi za mbalimbali jinsi zinavyoongoza katika vitendo vya kuripoti habari mbalimbali, wakati wa mafunzo hayo ya Waandishi wa habari kisiwani Pemba yaliowashirikisha Waandishi wa Habari wa Vyombo vya Serikali na Binafsi kisiwani Pemba yanayofanyika katika ukumbi wa Gombani Chakechake Pemba.
Mwanachama kutoka Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania TAMWA, Bi Grace akifafanua mada iliokuwa ikiwasilishwa na mwakilishi wa ECSE, wakati wa mafunzo ya waandishi wa habari kisiwani Pemba.
Waandishi wa habari wakiwa katika mafunzo ya vitendo kuangalia jinsi ya kufanya mahojiano na Viongozi wa Serikali na Wananchi wakati wa mafunzo hayo kuzindatia jinsi ya kujiandaa na kufanikisha mahojiano hayo kupitia katika laptop wakiwa katika makundi.






No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.