Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene wa kwanza kushoto akitoa heshima zake za mwisho kwa Kiongozi wa
Kikosi cha Wataalam wa Kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa
Uwanja wa Taifa Eng. QI XIN wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jijini Dar es
Salaam
Mke
wa marehemu Eng. QI XINwa pili kutoka kulia akitoa heshima zake za mwisho
katika mazishi ya mume wake ambaye alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa
kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa akiuaga
mwili wa mpendwa wake katika mazishi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo
(jana).
Mtoto
wa marehemu Eng. QI XIN akitoa heshima zake za mwisho katika mazishi ya mpendwa
wake ambaye alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa
Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa katika mazishi yaliyofanyika
jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga wa
kwanza kushoto akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehemu Eng. QI XIN
ambaye alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa
Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa katika mazishi yaliyofanyika
jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw.Leornad Thadeo akitoa heshima
zake za mwisho kwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa Kichina katika mpango wa
Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa Eng. QI XIN wakati wa mazishi yake
yaliyofanyika jijini Dar es Salaam
Baadhi
ya jamaa wa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa Kichina katika mpango wa
Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa Eng. QI XIN wakitoa heshima za
mwisho wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jijini Dar es Salaam
Mke wa
marehemu Eng. QI XIN akitoa heshima zake za mwisho wakati wa mazishi ya mume
wake ambaye alikuwa ni Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango
wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa, mazishoi hayo yalifanyika
jijin Dar es Salaam leo (jana). Wa kwanza kutoka kushoto ni mtoto wa marehemu
Mwakilishi
kutoka Ubalozi wa China nchini Lin Chiyong akimpa pole mfiwa ambaye ni mke wa
marahemu Eng.QI XIN ambaye alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha
Wataalam wa Kichina katika mpango wa ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa
Taifa na Uhuru.
Baadhi
ya waombolezaji wakiwa katika mazishi ya Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina
katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa katika mazishi
yaliyofanyika jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment