Habari za Punde

Mgombea Uraia Kupitia Chama cha CCK Achukua Fomu ya Kuwania Urais wa Zanzibar.


Gari iliokuwa imembea Mgombea Urais kupitia Chama cha CCK Mhe Ali Khatib Ali likiwasili katika viwanja vya Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar zilioko katika hoteli ya bwawani Zanzibar kwa ajili ya kuchukua fomu ya Urais wa Zanzibar.
Mwenyekiti wa Chama cha CCK Mhe Costantine Akitanda akiunumza na Mgombea wake wa Urais wa Zanzibar Mhe Ali Khattib Ali walipowasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi Bwawani Zanzibar. 
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha CCK Mhe Ali Khatib Ali akiwa na Mwenyekiti wake Taifa Mhe Constantine Akitanda wakiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi zilioko katika Hoteli ya Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kuchukua fomu ya Urais wa Zanzibar.
Wanachama wa Chama cha CCK wakimshindikiza mgombea wao wa Urais kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC Ndh Salum Kassim Ali akizungumza na kutowa maelezo ya mgombea Urais kupitia Chama cha CCK kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kumabidhi fomu ya Urais Mgombea 
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC Mhe Jecha .S.Jecha akisoma fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kwa Wanachama wa CCK waliofika katika Afisi za Tume ya Uchaguzi wakati wa hafla ya kukchukua fomu ya Urais wa Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Ali Khatib Ali akiwa na Viongozi wa Chama chake wakifuatilia maelezo ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar akiisoma fomu hiyo kabla ya kumkabidhi mgombea Urais wa Zanzibar.
Wanachama wa Chama cha CCK wakifuatilia maelezo ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar wakati wa hafla hiyo.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha.S.Jecha akionesha mkoba uliokuwa na fomu za kugombea Urais wa Zanzibar kabla ya kumkabidhi mgombea wa Chama cha CCK alipofika kuchukua fomu hiyo kuwania Urais Zanzibar.  
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzin Zanzibar ZEC Mhe. Jecha.S.Jecha akimkabidhi mkoba wenye fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Mgombea Urais kupitia Chama cha CCK Mhe Ali Khatib Ali wakati alipofika Afisi za Tume kuchukua fomu ya Urais wa Zanzibar.  
Mgombea Urais kupitia Chama cha CCK Mhe Ali Khatib Ali akiwa na mkoba wake baada ya kukabidhiwa fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Mgombea Urais kupitia Chama cha CCK Mhe Ali Khatib Ali akizungumza machache baada ya kukabidhiwa fomu ya Urais na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Mwenyekiti wa Chama cha CCK Taifa Mhe Constantine Akitanda akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakati wa hafla kukabidhiwa fomu ya Urais kwa Mgombea wa Chama hicho kuwania Urais wa Zanzibar.
Mgombea Urais kupitia Chama cha CCK Mhe Ali Khatib Ali akitangaza sera zake kwa waandishi wa habari baada ya kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar.katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar zilioko katika hotli ya Bwawani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.