Habari za Punde

Wataalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Wapewa Mafunzo ya TEHAMA Zenj.

Mkufunzi wa Mafunzo ya Tehama Ndg Omar.S.Saleh akitowa mafunzo kuhusiana na System and Network Secirity, kwa washiriki wa Mafunzo hayo kutoka Taasisi za Serikali na Binafsi, yalioandaliwa na  Tanzania Network  Operators Group Training (Tznog) yanayofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Mkufunzi askitowa mafunzo kwa Maofisa Wataalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano TEHAMA yanayofanyika katika hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar. 
                                  Washiriki wakifuatilia mafunzo hayo kwa vitendo.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.