Habari za Punde

Mkutano wa CCM Kojani

 MWANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Kojani, akiwa na mjukuu wake kwenye mkutano wa kampeni uliokuwa na lengo la kuwanadi ugombea ubunge, uwakilishi na udiwani jimboni humo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mberwa Hamad Mberwa, akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Kojani Massoud Ali Mohamed, kabla ya mgombea ubunge huyo na wenzake, kuomba kura kwenye mkutano uliofanyika Kangagani, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

KIKUNDI cha taarabu cha maendeleo Kangagani wilaya ya Wete Pemba, wakitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni wa kuwanadi wagombea ubunge, uwakilishi na udiwani Jimbo la Kojani CCM, uliofanyika Kangagani, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mberwa Hamad Mberwa, akimnadi mgombea uwakilishi wa Jimbo la Kojani, Makame Said Juma, kabla ya mgombea huyo na wenzake kuomba kura, kwenye mkutano uliofanyika Kangagani, (Picha na Haji Nassor, Pemba).  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.