KATIBU Mkuu wa Pemba Press Club Khatib Juma Mjaja,
akitoa maelezo Mchache kwa washiriki wa kongamano la wadau wa Habari kuelekea
Uchaguzi Mkuu, lililoandaliwa la PPC kwa kushirikiana na Umoja wa Vilabu vya
habari Tanzania (UTPC), huko katika ukumbi wa Uwanja wa Michezo Gombani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid
Abdalla, akimkabidhi katiba katibu mkuu wa Pemba Press Club, kuwa ndio mwongozo
wao wa Utendaji kwa viongozi hao wapya wa PPC, makabidhiano hayo yamefanyika
huko katika uwanja wa michezo Gombani.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
UONGOZI Mpya wa Pemba Press Club, ukiwa katika picha
ya pamoja na Wajumbe wa Bodi wa PPC na Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba
Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, baada ya kuuzindua rasmi uongozi huo huko katika
ukumbi wa Uwanja wa michezo Gombani.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Mkoa wa kusini Pemba Mhe: Mwanajuma Majid
Abdalla, akifungua kongamano la wadau wa habari kisiwani Pemba, kuelekea
Uchaguzi Mkuu lililoandaliwa na PPC kwa kushirikiana na UTPC, huko katika
Ukumbi wa Uwanja wa Michezo Gombani.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
NAIBU katibu Mkuu wa Pemba Press Club Ali Mbarouk
Omar, akiwasilisha mada ya wajibu wa wadau na Vyombo vya Habari, katika
kudumisha hali ya Amani na Utulivu wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu, katika
kongamano la wadau wa habari huko katika Ukumbi wa Uwanja wa Michezo Gombani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MWENYEKITI wa Pemba Press Club (PPC) kisiwani Pemba
Saidi Mohamed Ali, akifungua kongamano la wadau wa habari kuelekea Uchaguzi
Mkuu, lililoandaliwa na PPC na huko katika ukumbi wa kiwanja cha Michezo
Gombani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa kusini Pemba Juma Yussuf
Ali, akieleza jambo katika kongamano la wadau wa habari kisiwani Pemba kuelekea
Uchaguzi Mkuu, huko katika uwanja wa michezo Gombani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa kusini Pemba Juma Yussuf
Ali, akieleza jambo katika kongamano la wadau wa habari kisiwani Pemba kuelekea
Uchaguzi Mkuu, huko katika uwanja wa michezo Gombani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MRATIBU wa Tume ya Uchaguzi Pemba Ali Mohamed Dadi, akitoa ufafanuzi wa mambo mbali mbali ambayo yametolewa katika kongamano hilo la wadau wa habari kisiwani Pemba, kuelekea Uchaguzi Mkuu huko katika uwanja wa michezo Gombani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment