Habari za Punde

Profesa Mbarawa Azindua Kampeni ya Kuwania Ubunge Jimbo la Mkoani Pemba.


Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Profesa Mbarawa azindua kampeni za kugombea Ubunge Jimbo la Mkoani Pemba akiwahutubia wananchi.katika viwanja vya mpira Chokocho mkanyageni Pemba  
Profesa Mbarawa akiwahutubia Wananchi wa Mkoani wakati wa mkutano wake wa uzinduzi wa Kampeni ya Ubunge kugombea Jimbo la Mkoani uliofanyika katika viwanja vya chokocho mkoani Pemba 
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkoani Pemba Profesa Mbarawa akiwahutubia na kutowa sera za CCM wakati wa mkutano huo wa Kampeni uliofanyika katika viwanja vya Chokocho Mkoani Pemba.(Picha na Khamis Kidege Pemba) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.