Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana
kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda
akiongea na kikosi cha Timu ya Taifa ya Paralympic wakati akiwakabidhi vifaa
vya michezo kwa ajili ya kwenda nchini Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika
(All African Games).Kushoto aliyesimama ni Kocha wa Timu hiyo Bw. Zaharan
Mwenemti
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda akiongea na mmoja wa wachezaji
wa Timu ya Taifa ya Paralympic Bw. Ignas Madumla wakati wa makabidhiano ya
Vifaa vya michezo kwa ajili ya kwenda nchini Congo Brazaville kwenye mashindano
ya Afrika (All African Games).
(Picha na
Benjamin Sawe-WHVUM.)
No comments:
Post a Comment