Habari za Punde

Timu ya Taifa yaondoka kuelekea Congo kwa ndege ya Taifa

Afisa MichezoWizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Gordon Nsajigwa akimpatia  mmoja wa wachezaji wa Timu yaTaifa ya mpira wa miguu ya wanawake tiketi jana jioni tayari kwa safari yakuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games), kushoto aliyevaa sutini Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo. 
Wachezaji wa Timu ya Taifa wakipanda ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (Air Tanzania)jana jioni tayari kwa kuanza safari ya kuelekea nchini Congo Brazaville kwa ajili ya Mashindano ya Afrika (All African Games)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.