NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Dk. Islam Seif Salim wa pili kutoka kushoto akiwa ameshikilia mbegu za Miti aina ya mikoko, akitaka kupanda huko Jamvini Ndagoni Wilaya ya Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais
Dk. Islam Seif Salim, akizungumz ana wananchi wa Jamvini Ndagoni pamoja na
waandishi wa habari, mara baada ya kumalizika kwa zoezi la Upandaji wa miti
aina ya mikono 2200.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment