Mwenyekiti wa Jimbo Welezo Iddi Rwambo akizungumza na wanachi kwenye Mkutano wa kampeni za CCM jimbo la Welezo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin kuwatambulisha wagombea.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda ambae ni mgeni rasmin katika Mkutano wa kampeni za kuwanadi wagombea wa CCM jimbo la Welezo Zanzibar akihutubi wananchi waliofika kwenye mkutano huo uliofanyika viwanja vya welezo chini.
Baadhi ya wana CCM wakisikiliza mgeni rasmini katika mkutano huo Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda (hayupo pichani) alipoku akiwa wagombea wa Jimbo la Welezo.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akiwani mgombea Udiwani wadi ya Welezo wa kulia Ramadhan Ali na wadi ya Mtofaani Chum Shuari.
Waziri wa Fedha wa Tanzania Sada Mkuya akiwasalimia wananchi waliofika kwenye Mkutano huo. Picha na Makame Mshenga- Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment