Mgombea urais kupitia ADC Mhe Hamad Rashid Mohammed akifungua rasmi kampeni katika kisiwa cha Pemba katika kiwanja cha Gombani ya Kale leo hii. mkutano ulianza saa 8 mchana hadi saaa 12 jioni. Picha na Khamis Kidege, Pemba
WIZARA YA FEDHA YARAHISISHA UPATIKANAJI WA TAARIFA ZAKE
-
Na. Peter Haule na Chedaiwe Msuya, WF, Dar es Salaam
Wananchi wametakiwa kutumia taarifa zinazotolewa na Wizara ya Fedha kupitia
njia mbalimbali za mawasil...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment