Mgombea wa Chama cha DP Mhe Abdalla Kombo Khamis akiwasili katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa ajili ya kurejesha Fomu za kugombea Urais Zanzibar katika Afisi za Tume ya Uchaguzi zilioko katika hoteli ya Bwawani Zanzibar.
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha DP Mhe Abdalla Kombo Khamis, akiwa na viongozi wa Chama hicho wakimsindikiza kurejesha Fomu ya Urais wa Zanzibar Afisi za Tume ya Uchaguzi zilioko katika hoteli ya Bwawani Zanzibar.
Mgombea Urais kupitia Chama cha DP Mhe Abdalla Kombo Khamis akimkabidhi Fomu zake za kugombea Urais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC Mhe Jecha.S.Jecha
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe. Jecha.S.Jecha akisaini fomu za Mgombea Urais kupitia Chama cha DP baada ya kupokea fomu hizo kutoka kwa mgombea alipowasilisha Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa mchakato zaidi.
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha DP Mhe Abdalla Kombo Khamis akitoka Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar baada ya kukamilisha zoezi la kurejesha fomu za Urais wa Zanzibar.
No comments:
Post a Comment