Habari za Punde

Breeking News Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Atangaza Matokeo ya Kura za Urais za Majimbo Mawili ya Kiembesamaki na Fuoni CCM Inaongoza Majimbo hayo.

 
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe. Jesha Salim Jecha akitangaza Matokeo ya Kura za Urais za Majimbo mawili ya Fuoni na Kiembesamaki Zanzibar.Chama cha Mapinduzi CCM kikiongoza katika majimbo hayo mawili ya Uchaguzi Zanzibar. 
Makamishna wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar wakifuatilia matokeo ya Majimbo mawili ya Fuoni na Kiembesamaki yakitangazwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar. katika Ukumbi wa Salama Bwawani Usiku huu.
Makamishna wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar wakifuatilia matokeo ya Majimbo mawili ya Fuoni na Kiembesamaki yakitangazwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar. katika Ukumbi wa Salama Bwawani Usiku huu.
Mawakala wa Vyama vya Siasa Zanzibar wakifuatilia Matokeo ya Kura za Urais za Majimbo Mawili ya Fuoni na Kiembesamaki Zanzibar.
Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali Zanzibar wakichukuwa sauti ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar akitaja matokeo ya Kura za Urais za Majimbo ya Fuoni na Kiembesamaki Chama cha Mapinduzi kikiongoza katika Majimbo hayo.
Wakifuatilia Matokea ya Kura za Urais za Majimbo Mawili Zanzibar ya Kura za Urais ya Fuoni na Kiembesamaki Zanzibar yakitajwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani Usiku huu.  

Mawakala wa Vyama Vyama vua Siasa Zanzibar wakifuatilia Matokea ya Kura za Urais za Majimbo Mawili ya Uchaguzi ya Kiembesamaki na Fuoni Zanzibar.

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.